zenji

Zen master is a somewhat vague English term that arose in the first half of the 20th century, sometimes used to refer to an individual who teaches Zen Buddhist meditation and practices, usually implying longtime study and subsequent authorization to teach and transmit the tradition themselves.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  2. Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  3. Z

    Uvumilivu umenishinda, naelekea Zenji leo hii 23/05/2025.

    Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe. Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia. UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
  4. Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…