za huzuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nomadiq

    Nyimbo za taratibu sana/za huzuni zina madhara gani?

    Kwema wakuu. NYIMBO ZENYE MIDUNDO ya huzuni huwa zina madhara gani? Kuna kipindi fulani nilikuwa nazisikiliza sana, mtu akanambia achana na hizo nyimbo kwa usalama wako. Nyimbo hizi zina madhara gani? Mfano wa nyimbo hizo: Wiz Khalifa - See you again
Back
Top Bottom