yohana mbatizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Kanisa la kweli lazima lifuate falsafa ya Yohana Mbatizaji kueleza ukweli juu ya maovu ya mtawala yoyote.TEC wapo sahihi kupinga maovu hapa nchini

    Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu. Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao. Akamuambia Herode juu ya uovu wa kuoa mke wa kaka yake. Kama mtangulizi wa Yesu Yohana mbatizaji alikemea...
  2. SankaraBoukaka

    Kwa Ustawi Mwema wa Jamhuri ya Kizazi cha Jangwani, Wasadukayo, Wazee wa Mitala na Ahabu wao wasidanganyike kumuua Yohana Mbatizaji

    Wasadukayo wakiongozwa na Wazee wa Mitala na Ahabu waliomweka kwenye kiti cha enzi wanaendelea kuitumia Sanhedrin kuendeleza michezo yao kumzuia Yohana Mbatizaji. Hakika tunawataarifu Wasudukayo kuwa hii kitu iwe tu geresha kwa ajili ya tukio kuu. Ila wakidanganyika na kutamani kichwa cha...
  3. J

    Tangu Siku za Yohana Mbatizaji Ufalme wa mbinguni hupatikana kwa Nguvu Nao Wenye Nguvu Huuteka Mathayo 11:12. Ndipo Tulipofika na Siasa zetu!

    Kama huna nguvu hutafika popote wala hutateka chochote Yohanne anaelezea nguvu za Kiimani lakini katika Siasa zetu wenye nguvu za kiuchumi ndio huuteka Ufalme Ufalme siyo Kuongoza bali kuenjoy matunda ya Wanaoongoza Kwa mfano Chaumma anayeongoza ni Hashim Rungwe lakini wanaoburudika kwa...
  4. M

    Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala

    Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima akosoe maovu ya watawala. Askofu Gwajima yupo sahihi kama alivyofanya Yohana Mbatizaji.
  5. L

    Yohana Mbatizaji anasubiri kukatwa kichwa

    Hukumu ya Yohana mbatizaji iliboreshwa kutoka kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa. Turudi kwenye maandiko;(Mathayo 14:3-) Yohana mbatizaji alifungwa kwa sababu ya kumkemea Herode(mfalme) kwa kuoa mke wa nduguye Filipo.Ili kunyamazishwa sauti isiendelee sana kusikika alitiwa gerezani.Nadhani...
  6. R

    Godbless Lema ni Nabii halisi sawa tu na Yohana Mbatizaji wa enzi zile

    Salaam! Watu watofaitishe uchungaji na unabii, Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema. Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo...
  7. D

    Aliyeomba yohana mbatizaji akatwe kichwa ni mwanamke: Wanaoshangilia utekaji wengi wao viongozi wa kike, Aliyemuuza adam ni mwanamke

    Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama kuteka ni suruhisho hatuna budi kuwa na mahakama na magereza. Viti maalum vimeonesha waziwazi siyo...
  8. Oscar Wissa

    Je, Yohana Mbatizaji Ndiye Eliya?

    Wakati wa huduma ya Yesu, suala la utambulisho wa Yohana Mbatizaji lilikuwa na umuhimu mkubwa katika jamii ya Kiyahudi. Wengi walimwona Yohana kuwa ndiye Eliya aliyetabiriwa kuja kabla ya Masihi. Hii ilitokana na unabii wa kitabu cha Malaki unaosema: "Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya...
  9. Idugunde

    Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
Back
Top Bottom