yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Jean Baleke anaidai Klabu ya Yanga TSh. Million 155

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa upande wa Jean Baleke ni kuwa anaidai Yanga kiasi cha dola 60,000 ambapo dola 30,000 signing fee na dola 30,000 nyingine ni gharama za kuvunja mkataba, kama Yanga hawatomlipa ana mpango wa kuwapeleka FIFA. Dola 60,000 ni sawa na MILLION 155. Hii timu kwa Madeni...
  2. Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

    KMC FC Vs Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025 🕖 10:15 Jioni Updates.. Dakika, 27 Bado Yanga wanaongoza goli 2 Dakika, 29 Yanga wanapata freekick Dakika, 31 wamepata freekick lakini wanakosa kutumia nafasi Dakika, 38 KMC wanapata freekick Dakika, 39 KMC...
  3. M

    Tathimini yangu: Machi 8, 2025, Simba itaifunga Yanga goli 3 hadi 5

    Kwasasa Simba imeshajipata. 1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive 2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga 3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga 4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia...
  4. Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  5. FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo. Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
  6. Yanga hongereni sana kwa hili

    Kwenye pita pita zangu nikakutana na habari kuwa Avic town ilipata ugeni kutoka tawi la watu wenye matatizo ya macho. Wanachana wa Young Africans ambao waliwatembelea wachezaji kambini na kuzungumza nao. Nimepata video fupi inayoonesha namna mpira unaweza kuwa sehemu ya upendo sana. Kwa hili...
  7. C

    Hivi kwa nini huwa ni rahisi kwa Yanga kuwashawishi baadhi ya wachezaji wa timu pinzani waharibu na kucheza chini ya kiwango?

    Jambo hili linanifikirisha sana hasa nikifikiria wale wanaokula 5 halafu inawasajili kama wachezaji bora huku wanapotoka wanaoneka hawafai. Kitendo hiki cha nyuma mwiko sio kigeni kwenye ligi yetu. Unaweza kuta mchezaji akakubali kulipwa mshahara mdogo sana utopolo ila anaifia timu wakati kuna...
  8. M

    Wanaosema Amli Miroud hana sifa za kukaa kwenye benchi la Yanga, nadhani waache propaganda nyepesi

    AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu halafu hapo hapo akose sifa za kuifundisha Yanga inayoshiriki ligi iyo iyo? Bodi ya ligi na TFF wao...
  9. Coach Miloud Hamid kuhamia Yanga sio ajabu ni biashara ya kawaida kabisa

    Nimeshangaa baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira kuhusisha usajili wa coach Miloud Hamdi na undugu wa Yanga na Singida. Watu hawa wana uelewa mdogo Hii ni professional football watu wanajali pesa hawapo kwenye hizi timu kuuza sura, hii sio amateur football Morinho amefundisha timu 3 za...
  10. S

    Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro. Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa. My take YANGA SC...
  11. Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

    Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF. Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na...
  12. Nlisema ukweli ushindi tunaopata Yanga si kwa sababu ya kocha

    Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji. Hizi teams tunazifahamu, zinatufahamu na tunafahamiana. So tukiamua hata kuzipiga 10 inawezekana. Ndo maana pamoja na...
  13. Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

    Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika. Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh, Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar...
  14. FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽 Dakika ya 15 Mzize anakosa goli la wazi Dakika ya 17 Yng 0 -0 kgr Dakika ya 20 Kagera sugar wanapata Free kick Dakika ya 21 Yanga SC wanapata kona ya kwanza Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0 Dakika ya 31 Mzize kambaaa Dakika ya 41 Yng 1-0 kgr...
  15. Wabunge Mashabiki wa Simba, Yanga kuumana azania bank Bunge bonanza

    Benki ya Azania bank plc kwa mara nyingine imedhamini Bonanza la Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania litakalowakutanisha wabunge mashabiki wa timu za Simba na Yanga litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya shule ya John Merlini, Dodoma. Soma: Siasa kuingia kwenye michezo na...
  16. Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

    Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha. Soma: Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya...
  17. Yanga mmepoteza fursa adimu ya kuipiku Simba kwenye ranking za CAF

    Leo tunaambiana ukweli. Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua. Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata...
  18. Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

    Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5 Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5 Mechi ijayo tutawafunga 10
  19. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  20. IFFHS: Yanga yaicha mbali Simba takwimu za kimataifa 2024

    Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024. Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15. Orodha hiyo Klabu kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…