Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?
Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari...
The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania.
Read the statement 🔗 bit.ly/CMAG-71
Ministers expressed concern over reports of breaches of core Commonwealth values, including human rights, freedom of expression, democracy, the rule of law, and good...
Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu.
Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.