yakubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burundi pia yaacha ukaidi, yakubali chanjo ya COVID-19

    Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…