wizi wa mita za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kosa la wizi wa mita za maji Moshi

    Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za maji za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA). Akitoa hukumu hiyo leo tarehe 26/03/2025 Hakimu A.A Mkao amesema anamuhukumu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wakamatwa kwa wizi wa miundombinu ya mradi wa maji Nzega

    Vyombo vya dola wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora vinawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya mradi wa maji ikiwemo mabomba ya maji, katika mradi wa maji unaotekelezwa Kata ya Sigili wilaya ya Nzega, mkoani Tabora hali inayosababisha kusuasua kwa mradi huo. Taarifa ya wizi wa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Zaidi ya mita 300 za maji zaibiwa. Wezi wasakwa

    Hivi Wakuu! Hizi mita za maji zinazoibiwa si dili za watu kadhaa kutoka kwenye mamlaka husika jamani, maana wizi huu umetawala sana. ====== Zaidi ya mita 300 za maji zimeripotiwa kuibwa katika kipindi cha mwaka mmoja mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa huo, Thobias Andengenye ameitaka Mamlaka ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizi wa mita za maji Mbezi Mtaa wa Luis (Upendo)

    Habari za leo, Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo. Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa lakini hawana majibu. Sasa cha kushangaza hizi mita zina namba zake ambazo ni za usajili. Je, hawa...
Back
Top Bottom