Katika ripoti iliyokabidhiwa kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Seelemani Jafo Machi 18, 2025 jijini Dar es Salaam, mambo 10 yalibainika, yakiwamo ya kampuni za wawekezaji kutosjiliwa Kituo cha Uwekezaji (TIC), kamapuni za wageni kutosajiliwa wala kuea na leseni za biashara, wageni kuuza...