wizara ya maliasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kupokelewa na Menejimenti na watumishi wa Wizara hiyo baada ya uapisho wake tarehe 18, Novemba 2025.
  2. McLaren

    Wizara ya Maliasili na Utalii: Amani na utulivu imerejea. Wasafiri wanahimizwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii

    Wakuu Serikali yahakikishia usalama wa watalii nchini Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hali ya amani na utulivu imerejea nchini, na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinaendelea kama kawaida baada ya vurugu zilizotokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 1, 2025. Imeeleza kuwa huduma za...
  3. Prof_Adventure_guide

    Wizara ya Maliasili na Utalii: Mnacash-in Billions lakini Ground ni Gheto – Kilimanjaro Ni Kama Survival Game

    Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima Kilimanjaro, vibarua wabeba mizigo wanateseka kama wapo kwenye jungle ya kufa na kupona; maji...
  4. Nipe Maji

    Wizara ya maliasili yataja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
  5. Nipe Maji

    Vipaumbele 10 wizara ya maliasili na utalii bajeti ya 2025-2026

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi. Vipaumbele hivyo vimetajwa leo bungeni Mei 19,2025 na Waziri wa Wizara hiyo Dk Pindi Chana wakati...
  6. Just Pray

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
  7. Fortilo

    Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
Back
Top Bottom