wivu wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lugano Edom

    Jifunze maana ya wivu na jinsi ya kuuepuka

    Wivu ni hisia ngumu ambayo inaweza kuathiri sana maisha ya mtu. Kuna sababu kadhaa zinazochangia kuwepo kwa wivu: Kutokuwa na usalama: Mara nyingi, watu wenye wivu huwa na hisia za kutokuwa na usalama ndani yao. Wanahisi kama hawatoshi au hawana thamani, na hivyo wanaogopa kupoteza kile...
  2. Kaunara

    Wivu Unawatafuna Sana Watanzania

    Watanzania sijui tuna shida gani jamani, labda ni umaskini unasumbua sana ila ukweli hatupo sawa. Imagine mtu anaonea wivu ndoto ya mtu! Waswahili wanasema akumulikie mchana usiku atakumaliza. Juzi kati Diamond alisema ana ndoto ya kuwa Tajiri no. 1 duniani. Elewa nini maana ya ndoto ya...
Back
Top Bottom