Jamani naomba tusaidiane, kuna nyimbo za Gospel huwa nazitafuta na sizipati naomba kwa uzi huu ikiwezekana nifanikiwe. Mimi nawapa huu wa Malebo kama kuna yeyote anautaka ila mimi natafuta ..
1. Maisha yako wewe - Kijitonyama
2. "Shambani mwa bwana kuna mavuno watenda kazi ni wachache"
"Ninani...