wilaya ya tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Katavi: DC Onesmo Buswelu amjia juu Mkandarasi kuchelewesha Barabara ya Mnyagala - Mwikang’ombe

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amechukizwa na kitendo cha Mkandarasi kuchelewesha ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara ya kutoka Mnyagala - Mwikang’ombe kwenda Kayenze yenye urefu wa Kilometa 9.86 ambapo imekuwa ni kikwazo kikubwa kwa Wananchi wa ambao wanatumia...
  2. JanguKamaJangu

    Katavi: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika yasema imetoa mikopo kiasi cha Tsh Bilioni 1.1

    Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao, Serikali imefafanua, Kusoma zaidi kuhusu Wananchi hao bofya hapa ~ Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika...
  3. A

    KERO Tabia ya wahudumu wa Maabara Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika kuuza damu bila kufuata utaratibu ikomeshwe

    Habari, Ipo tabia ya wahudumu wa afya wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika iliyopo katika Kijiji cha Majalila hasa katika Idara ya Maabara (majina nayajua) na baadhi yao wapo Wodi ya Wazazi na Wodi inayotumiwa na Watoto, kuwa na tabia ya kulipisha ndugu wa Wagonjwa fedha badala ya kufuata...
  4. The redemeer

    Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

    Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko. Yaani madini ya gram,na ya matani. 3...
  5. A

    KERO Vijana wa Mkataba wanateseka sana katika Hospitali ya Wilaya Tanganyika Mkoani Katavi

    Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho kidogo, inayohitajika kadri ya miongozo. Wanaumia sana namna ya kujikimu wanapanga nyumba, kodi...
  6. Roving Journalist

    RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  7. Torra Siabba

    KERO Jengo la Wilaya ya Tanganyika lililopo Manispaa ya Mpanda linaharibu taswira ya Mji kwa uchafu

    Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana. Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
  8. Roving Journalist

    Kipindupindu chaitesa Wilaya ya Tanganyika - Katavi, waripotiwa Wagonjwa 441, Sita wafariki

    Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024 Wagonjwa waliojitokeza - 441 Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419 Waliopoteza Maisha – 6 Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu Wanaume – 235 Wanawake - 206 Umri Miaka 15+ : 187 Miaka 5 - 15: 150 Miaka 1-4: 92 Chini ya Mwaka...
  9. The Box

    Jina la Tanganyika kupewa wilaya ni dharau kwa jina hilo tukufu

    Wakuu, Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA. Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya? Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA? CC: Pascal Mayalla
Back
Top Bottom