weupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine: upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema

    Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema CHANZO CHA PICHA,EPA Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

    Yaani siku hizi imekuwa too much sasa Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi. Nimem-block sipendi ujinga Hivi ninyi wanawake wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…