Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.
Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...