Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF
Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje.
Ni jambo zuri sana kwani huwawezesha wenye kipato kidogo wasioweza kumudu kununua baadhi ya vitu vipya, kununua hivi vya mitumba...
Wakuu,
Kama mnakumbuka siku kadhaa nyuma kulikuwa na stori ya Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), aliposema mbele ya Waziri Mkuu kuwa anahofia kutekwa na Kuuwawa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza.
Sasa ni kama siku 3 zimepita tangu hiyo ishu kutokea. Nyie wenzangu mna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.