waziri katambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini. Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri Katambi achangiwa pesa ya kuchukua fomu ya Ubunge

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge. Mchango huu umeonyesha upendo na mshikamano wa dhati kutoka kwa jamii ya watu...
  3. Kididimo

    Waziri Katambi: No Research no right to speak. Hayo ndo majibu ya Waziri kwa wastaafu

    Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu. Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
Back
Top Bottom