waziri damas ndumbaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Damas Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Kituo cha Umahiri wa Michezo Manyara

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la ujenzi wa kituo cha umahiri katika michezo mbalimbali hususani mchezo wa riadha kwa kanda ya kaskazini kitakachojengwa mkoani Manyara. Akizungumza katika ziara hiyo, Waziri Ndumbaro amesema lengo la...
Back
Top Bottom