Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne!
Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
Rais wetu mama Samia pole kwa majukumu.
Leo nimekusikia ukisema chanzo cha mgao wa maji hapa Dar ni ukame uliopo mto Ruvu na sababu ni watu kuharibu mazingira. Naomba nikubaliane na wewe kwenye hili, lakini.
Nakuomba uongee vizuri na Waziri Aweso kwa maana sababu inaweza ikawa zaidi ya hiyo...