wazee wa dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    Kama nawaona Wazee wa Dar es Salaam waliopiga makofi na kushangilia aliposema Who are you?

    Duniani kosa vyote usikose akili Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi. Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku...
  2. L

    Hotuba Ya Rais Samia kwa Wazee wa Dar es salaam Ndio Iliyolituliza Taifa na Kuzima Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na kuchochewa na wajinga wachache walio nje ya Nchi. Ambao inaonyesha wazi wanapokea vijisenti vya mabeberu na...
  3. Common Folk

    Huyu jamaa (Sheikh) ameichambua vizuri sana hotuba ya Samia kwa Wazee wa Dar.

  4. M

    PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  5. Roving Journalist

    PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  6. Just Pray

    PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
  7. Cyclopedia

    PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  8. Just Pray

    PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  9. K

    PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  10. Q

    PostGE2025 Aliyemshauri Samia leo kuongea na Wazee wa Dar kakosea sana

    Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha. Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua mustakabali wa maisha yao hadi walipwe. Atasema, walioandamana hawakuwa watanzania, wakati waliokamatwa...
  11. K

    PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  12. Mtemi mpambalioto

    Wazee wa Dar mnaoenda kikao na rais kama mnajiamini Vaeni nguo za CCM

    Kama kweli haya yaliyotokea 29Oktoba hayawahusu basi VAENI NGUO ZA KIJANI zile piteni tu kwa amani kabisa mitaani mkiwa mnatembea kifua mbele! Kama mnaamini hamkuzika watoto au wajukuu kutokana na kupigwa risasi basi tembeeni kifua mbele! bahatu nzuri kesho ni siku ya Kazi so mji utakuwa nyomi...
  13. robinson crusoe

    PostGE2025 Lete hadithi zote kwa Wazee wa Dar, Sisi huku mikoa yote tunataka kujua maiti za ndugu zetu ziko wapi? Nani alitoa amri ya kuua?

    Kuna mchezo tunaletewa kana kwamba hatuna elimu vichwani: Yaani Walioua ndugu zetu sasa wanajiita viongozi. Mwigulu kaanza hadithi za kutohesabu waliokufa, wakati waliokufa siku zote tunaletwa idadi; Feri la kigamboni, MV Bukoba, Kipepeo, Treni iliyoseleleka, Mv Nyerere, nk. Eti sasa tuna...
Back
Top Bottom