Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa
"Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji anakuja kufanya zile kazi za wazawa"- Dkt Selemani Jafo - Waziri wa Viwanda na Biashara.
Via Clouds FM
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3 kama hutoi chochote.
Msifanye rushwa kua kitu cha lazima ili mtu akamilishe mambo yake hasa yakiwa...
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji...
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.