Wakuu,
Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde.
Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
Wakuu,
Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni.
Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama waandishi wataruhusiwa kwenda kuripoti, maana ni kama kila anayejaribu kufuatilia anaambiwa atulize fuvu.
Kwa taarifa zilizopo kwa kumulika kwelikweli na tochi ni kuwa kesi ya wale jamaa waliojaribu kumteka Tarimo A.K.A Bonge itaendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini itakuwa siku mbili, hata mimi mwenyewe sijui, labda wanasheria watueleze vizuri kuhusu hili.
Tukija kwenye sehemu ya pili, toka wakati...
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.
Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu alishambuliwa na watu wasiojulikana, ingawa pikipiki aina ya Vespa aliyokuwa akiitumia ilikutwa...
Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
Wakuu,
Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao!
Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza...
Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao...
Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA
Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
Salam Wakuu,
Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.
Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?
Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
Wakuu,
Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea!
Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa.
Maswali ni yale yale...
Wakuu,
Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani alimpiga risasi Lissu? Ni wakati mzuri wa Dkt. Slaa kutupa yale majibu yake.
Pia soma
Dkt. Slaa...
Amani iwe nanyi wapendwa
Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa.
=====
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model...
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
=====
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba...
Wakuu,
Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi.
=====
Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
Wakuu,
Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu!
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3 Januari, 2025 amepatikana akiwa kwa shangazi yake Kitunda, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
Wakuu,
Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa kufanya kuwa wote waliotekwa wameamua kujificha wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali. Wakienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.