Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana.
"Wito wangu ni tukemee...