watu walifariki kwenye maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alex khalifa

    Watanganyika maelfu wamekufa Simba na Yanga hawajatoa pole, eeh Mungu tukumbushe sisi niwapitaji tu hakuna mfalme wa milele isipo kua wewe baba

    Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell. Here we go...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Maafisa Usafirishaji Pwani Wapinga Vikali Tuhuma za Uhusika Katika Vurugu za Oktoba 29

    Naona ndugu zangu wamechoka kuchafuliwa! Ila kama mnakataa kwa hiari yenu sawa lakini kama mnatumika kisiasa basi mtazidi kuharibu ============= Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Pwani, umetoa tamko la kupinga na kulaani vikali tuhuma za kuhusishwa na vitendo vya vurugu, vilivyotokea Oktoba...
  3. Common Folk

    PostGE2025 Viral Scout Management: Tumefanikiwa kupata mwili 1 tu kati ya 7 ya vijana wetu waliofariki

    Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mtu binafsi, shirika, na mwanajamii aliyesimama nasi wakati huu mgumu sana. Usaidizi wenu usioyumba, huruma, na juhudi zenu zisizochoka ziliwapa nguvu familia zinazoomboleza na timu yetu nzima. Baada ya shughuli za utafutaji kamili zilizofanywa kwa...
Back
Top Bottom