Wengi wao walikuwa wanaonekana wamepiga hatua au wana mwlekeo mzuri
Biashara zilikuwa zinaenda, maisha yalikuwa ya uhakika, watu waliwaheshimu, afya imara, kufanya vizuri darasani, n.k.
Lakini maisha yakageuka - kufilisika, madeni, mali kupigwa mnada, ulemavu, kukosa kazi licha ya elimu kubwa...