watu mashuhuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Inasemekana viongozi wa upinzani na watu mashuhuri kukamatwa tarehe 26-28

    Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani! Watu wenye influence kwenye Jamii Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa. My take: Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi...
  2. Utamaduni wa Bacha Bazi Afghanistan jimbo la Kandahar na kwingineko: Wavulana wanavyoolewa na matajiri

    Historia ya tabia za jinsia moja katika Kandahar na maeneo ya Asia ya Kati: Katika baadhi ya jamii za kihistoria, hasa zile zenye mfumo wa kijeshi au wa wanaume pekee (patriarchal), kumekuwa na ripoti za mahusiano ya kimapenzi baina ya wanaume. Katika baadhi ya sehemu za Afghanistan (ikiwemo...
  3. K

    Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini

    Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
  4. Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO. 4 Keir - Waziri Mkuu UK, 5. Kagame - Rwanda, 6. Museveni - Uganda. 7...
  5. Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

    Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama. More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…