wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  2. JamiiForums Tanzania Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza

    Kila siku tunalia biashara ngumu sawa biashara ni ngumu kama hautojiongeza kwendana na wakati wa sasa unataka nini,usipoelewa wakati unataka nini basi "wakati" utakuelewesha unachotaka. Lazima tutambue kuwa wakati uliopo sasa watu karibia wote ni "wabahili" usijidanganye ukiona mtu anaagiza...
  3. JamiiForums Tanzania Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…