watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee wananchi wako tayari kuburuzwa na kundi fulani la watawala

    Ndani ya miaka sita ilyopita, nchi hii tumeshuhudia sheria zilizopo zikipindisha haki kwa kiwango cha kutisha. Raia wakitendewa ndivo sivyo katika nyanja mbalimbali. Vyombo vya maamuzi zikiwemo mahakama vikifichwa mfukoni na kundi fulani, kitu kinachopelekea kundi lenye haki likiumizwa vibaya...
  3. JamiiForums Tanzania Watawala boresheni mifumo tuendane na kasi ya dunia

    Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana. Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa kuongeza utawanyo bidhaa na sio uzalishaji. (Machinga economy) Serikali iwezeshe vikundi na wachache miradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…