wasioamini kuna mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sisi ambao tuna amini uwepo wa Mungu Tumewazidi vitu gani ambao hawaamini kabisa uwepo wa Mungu?

    Nadhani jambo la imani ni pana sana wakuu. Enzi za agano la kale kila Taifa lilikuwa na Mungu wao. Tunaona wakanaani walikuwa na mungu baali wengine walikuwa na mungu jua nk Huku Africa nasi tulikuwa na mizimu yetu. Mfano uliohai kabisa huku kwetu kulikuwa na mlima (upo hadi leo) wazee kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Atheists bado ni jambo geni kabisa Tanzania ?

    Leo nilikuwa kwenye bus muda mfupi baada ya safari kuanza kama ilivyo utaratibu wa bus nyingi kama sio zote za kisasa mhudumu wa gari akaanza matangazo mbalimbali lakini kabla ya yote akawataka abiria wasali kwa ajili ya safari. Huyo mhudumu akasema anajua kwenye gari wapo watu wa aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…