Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa!
Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa mengine ni kunaukandimizaji wa haki mkubwa sana katika kipindi cha uchaguzi!
Ukoloni mpya unazidi...
Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi.
Aidha hatujasikia tume huru ya uchaguzi ikikanusha jambo lile kuwa zile video ni Ai na hakuna hatua zozote za kisheria zilizo chukuliwa dhidi yao...
Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
Kuna mambo ukiyasikia nchi hii yanaumiza sana ,hii nguvu yote hii na ufujaji wote huu kuna nini hasa ikulu kinacho ng'ang'aniwa
Makadirio wasimamizi wa uchaguzi ni 67,000 maana kila kituo kina watu wanne nchi nzima na kila mmoja kapewa Tsh.550,000/= kama pesa ya usimamizi yaan malipo ambayo...
Wasimamizi wa uchaguzi mkoani Geita wametakiwa kuhakikisha wanaweka mazingira salama na ya haki, bila vitisho, ununuzi wa kura na upendeleo kama sehemu ya wajibu wao wa kusimamia zoezi la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Akizungumza wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi...
Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu ngazi ya Kata wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, bila kupokea au kutekeleza maagizo kutoka nje ya Tume hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru ya...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
Uchaguzi mkuu ni mchakato nyeti wa kisheria. Ndiyo maana hata huko juu kwenye ngazi za makamishina wa Tume ya uchaguzi unaongozwa na majaji waandamizi.
Mtiririko huo ungaliteremka hadi kwenye ngazi za wilaya na manispaa kwa kutumia mahakimu wakazi na mahakimu wa wilaya kama watumishi waandamizi...
WARATIBU wa uchaguzi , wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wamekutana jijini Arusha kwa siku tatu kwa ajili ya mafunzo ikiwa ni maandalizi ya kuwawezesha kutekeleza ipasavyo kazi na jukumu lililo mbele yao.
Akifungua mafunzo hayo leo Mjumbe wa Tume huru ya...
Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na kuiepuka migogoro inayoweza kuibuka wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Wito...
Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka kuvujisha taarifa za siri kwa kutuma sehemu isiyostahili.
Mbali na hilo pia waratibu hao na wasimamizi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za...
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi...
Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki.
Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza.
Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura.
CHADEMA...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa pamoja hawapo kwenye vituo vya kupigia kura, Msimamizi wa Kituo cha kupigia kura Mtaa wa nduka chamwino...
Akizungumza hii leo na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchini, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo ameitaka serikali na...
Wakuu
Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia
Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.