Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah.
Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi
Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...