wasanii wa singeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mwana FA: Tuisafishe Singeli iwe utambulisho wa Taifa. Wasanii wapate miongozo, sio lawama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
  2. funaku

    Wasanii wa Singeli kutoka Morogoro wanaenda next level

    Wapo vijana ambao hawajapata promo ila wanateleza na beats ,lyrics, na wanaburudisha sana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
  3. funaku

    Waziri Kabudi sasa ni wakati wa kuwakopesha wasanii wa Singeli

    Baada ya kutambua rasmi juhudi zao za kuitangaza Tanzania kimataifa nje ya mfumo rasmi. Wakati umefika kutambua utamaduni huu usioyumbishwa na muda au kebehi za wasiojiamini na kuamini katika singeli/ mchiriku/ mnanda . Wekeni fedha vijana waliojiajiri katika hii entarnmeint industry yenye...
Back
Top Bottom