wasanii machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    PreGE2025 Bien aongelea hali ya kisiasa ya Kenya bila uoga, ataja kuhusu upinzani kuminywa, utekaji na nafasi ya vijana, wasanii Tanzania wamekalia Uchawa!

    Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya. Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
  2. Waufukweni

    Nashauri tuungane kukataa kusapoti kazi, biashara za Wasanii Machawa wa Kisiasa

    Wakuu! Kwa muda sasa nimefuatilia mwenendo wa wasanii wetu hasa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi Mkuu limepamba moto. Sina shida na msanii yeyote kuonesha mlengo wake wa kisiasa huo ni uhuru wa mtu binafsi. Ila kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

    Wakuu salam, Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa...
Back
Top Bottom