wasanii ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpoki: Nilitarajia waliomuua MC Pilipili wangekuwa wameshakamatwa

    Msanii maarufu wa vichekesho, Mpoki, ameilaumu Jeshi la Polisi akishangazwa na kutokamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya MC Pilipili hadi sasa. Akihoji kwa masikitiko, alisema: "Wakati nasikiliza ile ripoti nilitegemea kwamba tunapomzika leo, tayari watuhumiwa wangekuwa rumande. Siingilii kazi ya...
  2. W

    GE2025 Mna uhakika hawa wasanii wetu ni kioo cha jamii kweli?

    Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu!
  3. GE2025 Wakimaliza kutumbuiza wanapewa bahasha zao halafu wanakuja kutukana mitandaoni kuwa hatufanyi kazi

    Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya. Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'? Hata hivyo, wakati mastaa...
  4. GE2025 Mwenenzi wa CCM Dodoma akosoa wanaokejeli wasanii kugombea

    Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. GE2025 Wingi wa Wasanii kuchukua Fomu , ni kutafuta Wapewe Hela na Wabunge Husika Kisha wajifanye wanajiondoa

    Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!. Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !! Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru . Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM ni wakubebwa, hawana Uwezo, saladu ni ni Low IQ. Sasa haya makanjanja wasaniii...
  6. PreGE2025 Wema Sepetu: Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Daraja la Magufuli, Maana nikisema mimi inaleta ukakasi

    Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike...
  7. Hatari: Wasanii wa Tanzania wanaounga Mkono CCM mbioni kuzuiliwa kutumbuiza Jumuiya ya Ulaya na Marekani

    Hii ni kwa sababu wametajwa kuunga mkono chama cha siasa kinachohusishwa na Utekaji na Mauaji ya Wapinzani na Wananchi Habari za Watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa ikiwemo na kubambikia wengine kesi kubwa za uongo, imefika EU na USA, Mikeka ya orodha ya watakaopigwa marufuku kukanyaga Ulaya na...
  8. PreGE2025 Madee: Rais Samia ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki

    Msaniii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki hali inayopelekea kupewa hadhi ya viwango inayostahili. Madee amezungumza hayo baada kutoa burudani yenye viwango vya kitamtaifa katika...
  9. PreGE2025 Rapa Fid Q aachia ngoma mpya inayoitwa "Kazi Na Utu Tunasonga Mbele"

    Rapa Fid Q aachia ngoma mpya inayoitwa "Kazi Na Utu Tunasonga Mbele"
  10. Kosa ambalo CCM kupitia serikali wanafanya linawafanya wengi kuamini ni hawa watu mnaowatumia kama wasanii,influence

    Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja. Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi. Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi. Mfumo...
  11. PreGE2025 Cyprian Musiba: Wasanii tumieni nguvu kubwa kutangazwa mazuri ya Rais Samia

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amewataka wasanii wa Tanzania kutumia ushawishi wao kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma tarehe 3 Machi 2025...
  12. PreGE2025 Shilole azindua mama lishe na Samia

    Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  13. PreGE2025 Wasanii Ay, Madee na Chege tumeridhia kuitwa Samia Kings baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za CCM

    Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta =========== Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu limeridhia na kulipokea jina la SAMIA KINGS walilopewa baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za...
  14. PreGE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

    Wakuu Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  15. Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

    Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo. Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo...
  16. Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

    Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…