warusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukraine yapiga daraja mbili zilizokuwa zinatumika na Warusi

    Hii itasaidia pakubwa sana kuilemaza jeshi la Urusi lililopo ndani ya Ukraine.... The Department of Strategic Communications of Ukrainian Armed Forces has confirmed the strikes on the Chonhar and Henichesk automobile bridges. Quote: "At around 15:00, Ukraine's Defense Forces struck the Chonhar...
  2. Ukraine wapasua ngome ambayo Warusi walikua wamejichimbia na kujihami balaa

    Kwa ngome ya supapawa kupasuliwa licha ya miezi yote waliyotumia kujichimbia na kujihami sio kitu cha mchezo, wazalendo wa Ukraine wanasonga mbele kwa mbele..... =========================== Hanna Maliar, Deputy Defence Minister, has reported that Ukrainian defenders had broken through the...
  3. Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

    Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region. 7 Up to 200 of Putin's...
  4. Warusi wameaminishwa kwamba wakishindwa kuifumua Ukraine, basi Urusi itakua imefutika

    Hiki ndio kinawasumbua kumbe na ndio kimesababisha Putin aamue tu bora jeshi lake liishe lote tu. Hapa kiaina kuna kaukweli maana Urusi imepoteza hadhi yote mpaka hapo, na ikishindwa kabisa na kujiondokea Ukraine, basi haitokua Urusi tena, kwanza kabisa wamepoteza wateja wakubwa wa silaha...
  5. Zelensky awatahadharisha Warusi kwamba vita vinawakuta ndani

    Hii video hapa chini inaonyesha namna Warusi kwenye mji wao mkuu wanakipata freshi, Zelensky amewaambia mpaka hapo walipofika hamna jinsi ila kuhakikisha Warusi pia na wao wanapokea, itabidi waache kukaa kizembe, waangaze macho angani muda wowote. Ukraine kainchi kadogo lakini kamefanya kitu...
  6. Kamanda wa Urusi auawa Bakhmut, aisei huo mji unaendelea kuwatokea Warusi puani

    Yaani mpaka unamfikia kumuua kamanda utakua umefagia wanajeshi kama senene...jameni Urusi nani atawaokoa... Enzi za kunyang'anyana ardhi ziliisha, hatupo kwenye zama za kale ambapo mvamizi alikua anavamia na kujimegea, leo hii ramani zilishachorwa na kila mtu anaijua nchi yake na mipaka yake...
  7. Msuguano mkali unaendelea Bakhmut, Warusi waendelea kupoteza maeneo ndani ya mji

    Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000 After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
  8. Meja-Jenerali wa Urusi atupwa nje kisa kulalamika namna Warusi wanauawa

    Aliamua kufunguka ukweli ambao Urusi imekua ikificha, anasikitishwa na namna wanapoteza wanajeshi na pia ukosefu wa silaha muhimu na mipango ya hovyo ya kijeshi...... ==================== Moscow’s military leadership has reportedly dismissed Major-General Ivan Popov, commander-in-chief of...
  9. B

    Wagner walipokinukisha warusi wa Buza waliishia wapi?

    Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana? Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner? Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake? Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
  10. Putin ana la kujifunza kwa jinsi Warusi walikua wanamshangilia kiongozi wa Wagner

    Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia. Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
  11. Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
  12. Kiongozi wa Wagner asikitika kwa namna Warusi wanafyekwa kwenye counter-offensive

    Taarifa zinaonyesha Warusi wanauawa takriban mia tisa kwa siku... ========== Wagner chief admits Russia losing badly against Ukraine’s counter-offensive Wagner Group financier and internally recognised war criminal Yevgeny Prigozhin issued yet another rebuke of the Armed Forces of Russia...
  13. Video: aibu, Warusi walipua tractor na kudai wamepiga kifaru cha leopard 2

    Hawa jamaa hadi wanatia aibu.. https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089 A grainy black-and-white gunsight video Russia released this week to bolster a claim its military blew up some of Ukraine’s most fearsome tanks actually...
  14. Operesheni imeanza. Ukraine wasukuma Warusi nyuma kilomita sita

    Muda umefika wa vijana wa Ukraine kuchukua kilicho chao, walichoachiwa na mababu zao, mito yao, milima yao, mashamba yao, ni mwendo wa mbele kwa mbele, nitawahabarisha humu hadi basi furaha hadi nahisi kuumwa, nakumbuka ilikua raha hivi wakati ule msafara wa kwenda Kyiv ulipigwa na wabeba...
  15. Waasi wa Urusi wateka wanajeshi Warusi, mambo yanaendela kutokota

    Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete. ======== Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod, near the border with Ukraine. Belgorod's top official said he had agreed to meet the men's captors if...
  16. Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

    Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi. In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk region came under fire overnight, according to a Russian official. Shells hit two villages close to the...
  17. Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  18. Warusi warudishwa nyuma Bakhmut, hapa ni mwendo wa moto tu

    Warusi wanaendelea kupokea kichapo huku wakitoroka...... Jana yote JF haikukalika pro-Russia waliposheherekea tamko la yule mzee kicha kiongozi wa Wagner... Ukraine has pushed back against Russian forces in the city of Bakhmut, retaking a number of buildings, a Ukrainian armed forces spokesman...
  19. Ukraine waanza kuwasogeza nyuma Warusi kule Bakhmut

    Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani. ================================== Ukraine said on Friday that its forces had made significant advances around the embattled city of Bakhmut in the eastern...
  20. Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

    Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns".... Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine. ===================== "We look like...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…