warangi wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    Tabia ya wanawake kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao iko kwa Warangi tu au na makabila mengine?

    Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ? Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao Nikasema nije kwenye jamvi niulize
  2. Niache Nteseke

    Dah, aisee Warangi wazuri sana

    Hata sijui nisemeje mnielewe.
Back
Top Bottom