Warangi is a village development committee in Morang District in the Kosi Zone of south-eastern Nepal. At the time of the 1991 Nepal census it had a population of 2745 people living in 506 individual households.
Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe?
Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣
Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
Habari zenu?
Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne.
Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,
Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.
Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.
Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.