Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao.
Ni waraka usio na chembe ya udini wala itikadi za kisiasa.. Umetembea kwenye mstari wa katiba na...
Serikali kamwe haiwezi kuendeshwa kwa waraka wa TEC wala BAKWATA.
Kila mwananchi anayo haki ya kutoa maoni yake lakini sio lazima kila maoni yafuatwe.
TEC imetoa waraka wake pia BAKWATA inaweza pia kutoa waraka wake lakini sio lazima Serikali ifuate waraka huo.
Jambo la msingi vyombo hivi vya...
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima.
Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari
Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
bandari
bandari.
baraza la maaskofu tanzania
dp world
hekima
hii
juma
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuelekea
kukataa
kusoma
kuweka
lazima
maandamano
maaskofu
makini
mama samia
mauaji
mawazo
misimamo
mkataba
mkataba wa bandari
mkono
muhimu
mungu
pamoja
pili
roman
rwanda
samia
sauti
serikali
siku
tamko
tanzania
tec
tunahitaji
uuzwaji
warakawarakawatec
wengi
Toka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi...