Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa:
#1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha:
#2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme hautoshi:
Ya nini kumung'unya maneno?
Pana mtu hapa amejipambanua kuwa mwongo mzoefu. Haonyeshi hata...
Wana Jf
Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
33341
Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu.
Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni...
Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa...
Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia
Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu
Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99
Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...