Idara ya ulinzi tutegemee IGP na Mkuu wa majeshi kutoka pande mbili
Baraza la mawaziri tutegemee 30% wawe wazazinibari
Wakuu wa mashirika tutegemee wazazibar 30% au zaidi kuteuliwa kupewa majukumu
Wazanzibari vizuri kushukuru wakoloni waliotawala Zanzibar .Vivutio vya utalii viingiza pesa Zanzibar ni vya vya waarabu
Bila waarabu kutawala Zanzibar sasa hivi Zanzibar kingekuwa kisiwa maskini sana sababu mapato yake hutegemea utalii wa kuangali vitu vya wakoloni waarabu
Ni vizuri...
Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache kupitia mataifa kadhaa mfano ni mgogoro wa Israel na Palestine.
Ni mvutano wa uwepo na utetezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.