Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wanu Hafidh Ameir, amesema uamuzi wa Chama cha ACT Wazalendo kutoweka mgombea wa urais mwaka huu ni ishara tosha ya kutambua kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amethibitisha kuwa ni mwanamke...