wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake hatari wa kuwakwepa 2025

    Wewe ni mwanaume umehangaika sana kutafuta mwanamke wa ndoto zako na haujampata au pengine umewahi kumpata lakini mkashindwana? Kama unapitia kwenye hatua hii basi tambua kuwa hakuna mwanamke mzuri na mkamilifu kwa asilimia zote ila unaweza kumpata ambaye unaweza kumjenga kulingana na mahitaji...
  2. Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  3. Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii. Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za...
  4. Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
  5. Mimi nafikiri hakuna muda ambao wanawake wamewahi kuenjoy zaidi ya hizi nyakati

    Kuna namna fulani ambayo wanawake wa kileo wame evolve kuwa allergic na maisha magumu au ya kuunga kuunga. Kuna namna fulani hivi ambayo wanawake wa kileo wameweza ku-set standards zao katika hii dunia inayoongozwa na mwanaume. Women are kind of special, maan........ yani System ya zamani...
  6. Jinsi Wanawake wanavyoweza kutambua Mwanaume ambaye ana malengo ya ndoa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kukuoa

    Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa. Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa: 1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
  7. Nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kufanya matendo ya uhayawani na ukatili kwa wanaume

    Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana
  8. Wanawake wa Mpanda walia na waume zao kukimbia majuku ya familia

    Wababa wa Mpanda mbona hivyo lakini? Ila wanaume wengi wa mikoani wamekuwa wategevu kwa namna fulani katika kujishughulisha na majukumu ya kuelea familia, hii sasa ni balaa na tabu tupu! ================== Kampeni ya msaada wa kisheria ya "Mama Samia Legal Aid Campaign" inaendelea mkoani...
  9. Wanawake wenye maumbo mazuri ni wetu.

    Ndugu zangu salaaaam.. Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje. Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule tena ya msingi🤣🤔. Hivyo kupelekea watu wenye nia ama ndoto ya kumiliki...
  10. Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  11. Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  12. Hakimu anamuuliza huyu binti, "kwa nini ulimuacha huyu kijana?", binti anajibu "i thought he was too nice" ila wanawake, duuh🤣🤣

    "i thought he was too nice" Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari. Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi Fantasy yao huwa...
  13. Tupunguze kuwasema wanawake vibaya

    Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
  14. Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  15. Wanaume hamuwafahamu vizuri wanawake

    Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake. Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA. Tabaka la kisia ni lango la...
  16. Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

    Bila salamu. MTAANI. Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu. Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya wanaume kwa hakika shughuli za eneo hilo zitasimama hadi pale utakapopotela unakoenda. NDANI...
  17. Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali) Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
  18. K

    Mapungufu ya viongozi wanawake ni kuogopa wenzao

    Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa kama wenyewe ndiye wa kwanza kuwaogopa. Akiona wanapata sifa zaidi yake Mama Samia amekimbilia...
  19. K

    Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia) Kama wewe ni mfuatiliaji wa...
  20. Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…