Wanawake wa Dar aisee hapanaaa. Siku hizi ni kama vile biashara imehamishiwa kwenye usafiri wa umma. Yaani unakutana na mwanamke kwenye usafiri wa umma ni kama vile amedhamiria umtongoze. Anakusogezea kalio mpaka unatamani umuombe msamaha.
Hivi ni kwamba wanaume tunawindwa kwenye usafiri wa...