wanawake ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    TANZIA Mwenyekiti Umoja Wa Wanawake CCM Mkoa Wa SIMIYU Afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani humo, Mariam Manyangu, aliyefariki dunia leo Jumamosi Machi 21, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Simiyu...
  2. Mindyou

    GE2025 Tume imetangaza kuandikisha wapigakura wengi wengi wanawake kuliko wanaume. Agenda ya Women Empowerment inatakiwa iwe revisited!

    Wakuu, Hivi mmemsikia huyu jaji Jacobs Mwambegele ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? Hivi karibuni alisema jumla ya Wapiga Kura walioandikishwa kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 ni Milioni 37.6. kati ya hao Milioni 18.9 ni Wanawake, sawa na Asilimia 50.31, huku Wanaume wakiwa Milioni 18.7, sawa...
  3. Just Pray

    TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  4. PendoLyimo

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira asema CCM imekomboa elimu ya wanawake Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania. Akizungumza wakati wa Kongamano la Wanawake lilioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) mjini Dodoma, Wasira...
Back
Top Bottom