wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mdau: Wanachojadili Wabunge kwenye group lao, wanataka magari yao yawe na Special number

    Wadau salama, leo nimekutana na hili andiko, tusome mtazamo wa mwenzrtu kuhusu kile wanachojadili wabunge... *************** WANAYOJADILI WABUNGE KWENYE GROUP LAO LEO KUTWA NZIMA Na Thadei Ole Mushi Wabunge wa CCM leo kwenye Group lao la kibunge wamejadili na kukusudia kupeleka hoja bungeni...
  2. JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza wasanii wanataka watu kama Babu Tale, Salam n.k kwenye shirikisho

    Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo. Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

    Habarizenu humu! Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa. Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wasiotaka Siasa za Kistaarabu wanataka nini?

    Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti. Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu. Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa: Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…