Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno
Wodi imejaa wajawazito na vichanga
Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa
Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake...