Aminini nawaambieni.
Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi
wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao.
Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!!
Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie ndio mnafaidika!!
Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili
anaandika Boni Yai
BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..?
MASWALI KUMI (12) KWA BALILE.
1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..?
2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina
==============
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza"
Soma, Pia
Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.