Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za maoni alitorudishwa.
Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya CCM Mkoa Morogoro, Wanachama hao wamesema...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM Halmashauri ya mji Makambako wameiomba kamati kuu ndani ya chama hicho irejeshe majina ya watiania wa nafasi ya Ubunge na Udiwani wale wanaohitajika na wananchi ambao wamepigiwa kura za maoni ni si vinginevyo. Wameeleza hayo mara baada ya kukamilika...
Wanachama wa CCM Kata ya Itamboleo Wialaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya wameiomba kamati Kuu ya Chama hicho kuruhusu majina ya wagombea Udiwani wote waliochaguliwa na wajumbe yarudishwe ili kura za wajumbe zikatoe maamuzi na siyo viongozi kukata
Viongozi wa matawi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Kata ya Kunduchi Wilayani Kinondoni wamefika katika ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa kile walichodai kukatwa kwa jina la mtiania wa kata hiyo, Michael Urio.
Hata hivyo majina ya watiania ya udiwani ambayo yalipita kamati...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Masasi wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Zoezi hilo limeanza rasmi leo, tarehe 28 Juni 2025, ambapo fomu za ubunge kwa majimbo ya Masasi...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM kata ya Lugata wilayani Sengerema mkoa mwanza wameandamana kupiga hatua za viongozi wa chama hicho ngazi ya kata kuzuia ujenzi wa ofisi ya chama hicho ambayo kwa sasa imechakaa na haiwezi kutumika
Hii ni siku ni moja baada ya mbunge wa Mbunge wa Buchosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.