wamachinga kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kumbukizi: Mmachinga msomi alivyoiwashia moto Serikali baada ya kupiga marufuku biashara ndogondogo maeneo mbalimbali ya Dar

    Wakuu, Oct 25, 2021 mahojiano na machinga Kariakoo kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa Dar wakati huo Amos Makalla kupiga marufuku shughuli za kibiashara ndogondogo katika maeneo yasiyo rasmi kama juu ya mitaro, mbele ya shule za serikali au taasisi za serikali, pamoja na hifadhi za barabara zote...
  2. Just Pray

    Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
Back
Top Bottom