Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu yanalipwa.
Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais...