Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko ya wakulima hao kuwasilishwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Machi 18, 2025, katika stendi...